BRELA Yaingia ‘Ubia’ na TCCIA Usajili Biashara na Leseni Mikoani
Kaimu Meneja Huduma, Utawala na Fedha wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bosco Gadi (katikati) akieleza Vyombo vya Habari juu ya uimarikaji wa huduma za BRELA, katika mkutano...
View ArticleMbunge Awaomba Wapiga Kura Wake Kumvumilia Juu ya Ahadi za Maji
Moja ya nyaraka iliyoorodhesha ahadi za mbunge Seleiman Nchambi zikiwa katika ofisi ya Kijiji cha LubagaSehemu ya nyaraka iliyoorodhesha ahadi za mbunge Seleiman Nchambi zikiwa katika ofisi ya Kijiji...
View ArticleWatoto Nkasi Waajiriwa kwa Ujira wa Ndama kwa Mwaka
Mmoja wa watoto akirudisha nyumbani ng’ombe wanaotumiwa kwa kilimo Wilayani Nkasi.Ofisa Ustawi wa Jamii wa Halmashauri wa Wilaya ya Nkasi, Oscar Mdenye.-1Mifugo Wilayani Nkasi. Na Joachim Mushi, Nkasi...
View ArticleMwanafunzi Miaka 13 Msingi Abebeshwa Mimba, Afaulu Sekondari…!
Mwanafunzi huyo akiwa na mwanaye akizungumza na mwanahabari Joachim Mushi, Kijijini Newala Na Joachim Mushi, Newala MIMBA za umri mdogo ambazo zimekuwa zikiwakatisha wanafunzi masomo Wilaya ya Newala,...
View ArticleAskari Mtunza Silaha Dodoma Akamatwa Akiwinda Haramu na Silaha ya Kivita
Silaha aina ya G3 *Akutwa na silaha ya kivita Na Mwandishi Wetu, Dodoma ASKARI wa Jeshi la Polisi mkoani Dodoma ambaye ni mtunza silaha wa Wilaya ya Dodoma mjini, Meja George Andala pamoja na raia sita...
View ArticleElimu ya Awali Tunduru na Changamoto Zake
Mwalimu wa darasa la awali wa Shule ya Msingi Nakayaya, Teckla Milanzi (kulia) akiwa na wanafunzi wake eneo ambalo hutumika kama darasa la wanafunzi hao. Na Joachim Mushi, Tunduru WADAU wa elimu nchini...
View ArticleTangazo Msiba wa Amin Elias Mbaga wa TTCL
Amin Elias Mbaga MENEJIMENTI ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao, Amin Elias Mbaga aliyekuwa Meneja Uhusino kilichotokea tarehe 13.10.2014 katika...
View ArticleFemAct Watoa Tamko Kuhusiana na Katiba Pendekezwa
TAMKO LA FEMACT KUHUSU VURUGU ZILIZOTOKEA KATIKA MDAHALO KUHUSU KATIBA PENDEKEZWA KATIKA HOTEL YA BLUE PERL UBUNGO DAR ES SALAAM TAREHE 2 NOVEMBER 2014. Sisi Mashirika yapatayo 50 yanayotetea Usawa wa...
View ArticleJK Ateuwa Mkurugenzi Mkuu TEA
Rais Jakaya KikweteRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TEA). Uteuzi huo umeanza rasmi tangu...
View ArticleFuatilia Matukio Mbalimbali ya Uchaguzi wa Marudio Zanzibar Hapa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika foleni ya wapiga kura ya...
View ArticleZanzibar Ulinzi Mkali kila Kona Usalama Watawala
Ulinzi umeimarishwa katika ukumbi ambao matokeo ya uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar yatatangazwa. Mbwa wa ulinzi pia wametumika kukagua eneo hilo, ambalo mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi...
View ArticleZEC Yamtangaza Dkt Shein Kuwa Mshindi wa Nafasi ya Urais
Mshindi wa nafasi ya Urais katika uchaguzi wa marudio Dkt Shein, amezungumza na wanahabari kuhusu hatima ya chama cha CUF ambacho kilisusia uchaguzi wa marudio Jumapili. Amesema kwa sasa ataongoza...
View ArticleIsaya Mwita wa Ukawa Aibuka Kidedea Umeya wa Jiji la Dar es Salaam
UCHAGUZI wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kareemjee zimeshuhudiwa kuwa mgombea wa vyama vya UKAWA, kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Isaya...
View ArticleAsilimia100 ya watoto wa mitaani Mwanza Wamenyanyaswa Kingono-Utafiti
Mkurugenzi wa shirika la Railway Children, Kanda ya Afrika Mashariki, Bw. Pete Kent akizungumza na waandishi wa habari kuzungumzia utafiti wa watoto wa mitaani walioufanya mwaka 2015 mkoani Mwanza....
View Article